Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 5:58 pm

NEWS: ALBUM YA MBOSSO YAFIKISHA STREAMS MILIONI 100

Star Wa Muziki wa Bongofleva kutoka label Ya WCB Wasafi Mbosso Khan A.K.A Mushedede Amefanikiwa Kufikisha Streams za kusikiliza milioni 100 katika Album yake ya Kwanza ya "Definition Of Love" tangu kutoka kwake.

Album Hiyo Imefikisha Idadi Hiyo Ya Streams Katika Plaforms Mbalimbali Za Kusikiliza Muziki..

Kama utakumbuka Msanii huyo Aliiweka Album hiyo Sokoni March 9, 2021 Ikiwa Na Ngoma 17 Kama Vile Baikoko Ft Diamondplatnumz, Kadada ,Tulizana Na Zingine nyingi.