Home | Terms & Conditions | Help

May 18, 2024, 4:44 pm

NEWS: MTATURU ATIMIZA AHADI YAKE KWA VITENDO.

SINGIDA: Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameendelea na ziara yake jimboni humo ambapo ametembelea miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya elimu yenye thamani ya Sh Milioni 196 inayotekelezwa na serikali katika shule ya sekondari ya Unyahati.Miradi hiyo ni ujenzi wa bweni moja,madarasa matatu,maabara tatu na matundu sita ya vyoo.