- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
WATETEZI KENYA WAITAKA SEREKALI KUJENGA MASHULENI VYUMBA VYA KUNYONYESHEA
Nairobi. Muungano wa kutetea haki za walimu wanawake nchini Kenya (Kewota) umeitaka Serekali kupitia wizara ya elimu kuanzishaa vituo vya kunyonyeshea watoto shuleni ili kuhakikisha walimu wote wanaoj
NEWS: BENKI YA EQUITY YAANZA KUTOA HUDUMA KWA NJIA YA WHATSAPP
Nairobi. BENKI ya Equity nchini Kenya imeanzisha mfumo mpya wa utoaji huduma kidijitali katika juhudi za kurahisishia wateja wake mchakato wa kupata huduma za kifedha kwa kutumia njia za WhatsApp na F
NEWS: RAIS SAMIA AONGEZA KIWANGO CHA POSHA YA KUJIKIMU
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassani leo ametangaza kutoa kibali cha kurekebisha posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum (Extra Duty) k
NEWS: MANARA NA BARBARA WAITWA KAMATI YA MAADILI TFF
Dar es salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba Sport Club, Barbara Gonzalez na Afisa habari wa Yanga, Haji Manara wameitwa kwenye kikao cha Kamati ya Maadili ya Shirikisho l
WAZIRI: LAINI ZOTE ZA SIMU ZIMESAJILIWA
Dodoma. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeendelea kuendesha na kuboresha kanzidata ya usajili wa laini za s
NEWS: KUFIKIA DISEMBA 2022 RASIMU YA MITAALA MIPYA NA RASIMU YA MAPITIO YA SERA ...
DODOMA: Serikali imesema kuwa ina mpango kabambe wa kukimbiza na kuyafanyia haraka mageuzi ya elimu ambapo kufikia mwezi Disemba 2022 rasimu ya Mitaala mipya pamoja na rasimu ya mapitio ya sera itakuw
NEWS: RAIS SAMIA AWAKOSHA TUCTA.
DODOMA: Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi nchini TUCTA limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua mbali mbali anazochukua katika kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ikiwa kupandisha madaraj
CHADEMA YAWASILISHA BUNGENI BARUA YA KUWAVUA KINA MDEE UBUNGE
Dodoma. Katibu Mkuu wa chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema John Mnyika amesema ameshawasilisha Barua ya maamuzi ya Baraza Kuu kuhusu kutupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama 19 wa Cha
NEWS: SEREKALI YATOA RUZUKU YA BILIONI 100 KWENYE MAFUTA
Serikali ya Tanzania imetoa ruzuku ya TZS bilioni 100 kwenye mafuta ya petroli na Dizeli ili kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo kuanzia mwezi June 1, 2022.Akizungumza Bungeni wakati wa kutoa mkaka
NEWS: NAPE AWAPA SIKU 14 MAOFISI HABARI KURIPOTI HABARI ZILIZOPO
Waziri wa habari mawasiliano na teknolojia ya habari, nchini Nape Nnauye amewapa siku 14 kwa tovuti na taasisi zote za serikali,kuwa na taarifa zinazoendana na wakati ili wananchi waweze kufahamu kazi